Ni rahisi, salama na haraka. Nimefurahia huduma za PFood na nitaendelea kutumia.
You guys are the best
Hukumbushwa kila siku chakula kikiisha na kikiwa tayari. App hii ni bora na huduma za PFood ni nzuri.
Always love this App
Natamani shule zisifungwe au wiki isiishe Vicky wa PFood ana lugha nzuri mno, na huduma zake ni nzuri pia, Mungu ambraki.
Ni noma
In Love with Food, in Love with Precious Food.
Weekend notifications are the best